MSIMAMO WA MAPINDUZI CUP 2026: Nani Kukaa Kileleni na Nani Kutolewa Mapema?
MSIMAMO WA MAPINDUZI CUP 2026: Msimamo wa kundi la simba Mapinduzi Cup 2026, Msimamo wa kundi la Yanga Mapinduzi Cup 2026, Mashindano ya Mapinduzi Cup 2026 yamezidi kupamba moto katika visiwa vya Zanzibar, huku kila timu ikipambana kutafuta tiketi ya nusu fainali. Hadi kufikia Matchday 3, msimamo wa makundi unaonesha ushindani mkubwa, huku vigogo wa…