Olympiacos 3–4 Real Madrid: Usiku wa Kihistoria wa Mabao, Mbappé Aitikisa Karaiskakis!
Olympiacos 3–4 Real Madrid: Tarehe 26 Novemba 2025 itabaki kuwa moja ya siku kubwa zaidi katika historia ya mashindano ya UEFA Champions League – hususan kwa mashabiki wa soka waliokuwa Georgios Karaiskakis Stadium, Ugiriki. Mchezo ulikuwa wa kasi, hisia, drama, na mabao mazuri saba! Olympiacos FC walipambana kufa kupona dhidi ya miamba ya Hispania, Real…