Real Madrid Wamkopesha Endrick Olympique Lyonnais Hadi Juni 2026

BREAKING: Real Madrid Wamkopesha Endrick Olympique Lyonnais Hadi Juni 2026 – Maamuzi Makubwa Yanayobeba Mustakabali wa Nyota Kijana wa Brazil

Real Madrid Wamkopesha Endrick Olympique Lyonnais Hadi Juni 2026: Klabu ya Real Madrid imethibitisha rasmi kupitia taarifa ya Comunicado Oficial kuwa imefikia makubaliano na Olympique Lyonnais ya kumkopesha mshambuliaji wao chipukizi Endrick hadi mwisho wa msimu huu, tarehe 30 Juni 2026. Hatua hii imekuja kama sehemu ya mkakati mpana wa Real Madrid wa kukuza vipaji…

Read More