BREAKING: Real Madrid Wathibitisha Trent Alexander-Arnold Kuumia – Akiwa Ametoa Asisti Yake ya Kwanza LaLiga
Real Madrid Wathibitisha Trent Alexander-Arnold Kuumia: Baada ya ushindi muhimu dhidi ya Athletic Bilbao Jumatano nchini Hispania, Real Madrid wamethibitisha kwamba beki wao mpya, Trent Alexander-Arnold, ameumia misuli. Hii inakuja siku ambayo mchezaji huyo alitoa asisti yake ya kwanza kabisa kwenye LaLiga, akionyesha ubora wake katika mchezo wake wa kwanza wa ligi tangu kujiunga na…