Scott McTominay Aweka Rekodi Mpya

Scott McTominay Aweka Rekodi Mpya: Overhead Kick Dhidi ya Denmark Yawa Bicycle Kick ya Juu Zaidi Katika Historia ya Soka

Scott McTominay Aweka Rekodi Mpya: Katika ulimwengu wa soka, mabao mazuri hutokea mara chache lakini pale yanapotokea, historia huandikwa upya. Hilo ndilo limefanyika baada ya Scott McTominay kufunga bao la aina ya acrobatic overhead kick dhidi ya Denmark, bao ambalo sasa limetambuliwa kuwa bicycle kick ya juu zaidi (highest recorded height) katika historia ya soka….

Read More