Ubabe wa Msimbazi! Simba Queens Yaitandika Mashujaa Queens, Yatikisa Kilele cha Msimamo Ligi ya Wanawake
Simba Queens Yaitandika Mashujaa Queens, Simba Queens 2-1 Mashujaa Queens Matokeo ya mechi ya Simba Queens dhidi ya Mashujaa Queens; Klabu ya Simba Queens imeendelea kudhihirisha kwanini wao ni miongoni mwa timu tishio zaidi katika soka la wanawake barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa Queens jioni ya…