Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar

Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar: Tazama Jinsi Msimamo wa Ligi Kuu NBC Ulivyovurugika Baada ya Sare ya Manungu

Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar, Matokeo ya Mechi ya simba na Mtibwa sugar; Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) imeendelea kutoa majibu magumu kwa vigogo wa soka nchini, baada ya miamba ya Msimbazi, Simba SC, kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya “Wakata Miwa” wa Turiani, Mtibwa Sugar. Mchezo huo uliopigwa katika dimba…

Read More