Simba SC vs Mbeya City H2H (Head to Head) – NBC Premier League
Simba SC vs Mbeya City H2H: Kwa miaka kadhaa, Simba SC na Mbeya City wamekuwa wakikutana kwenye NBC Premier League, ligi kuu ya ushindani mkubwa nchini Tanzania. Takwimu hizi zinaonyesha jinsi mechi zao zimekuwa zikitoa matokeo ya kuvutia huku Simba SC wakidhibiti rekodi ya ushindi. Soma pia: Simba SC vs Mbeya City: Simba SC Yaahidi kuchukua…