Simba SC Yakamilisha Usajili wa Winga Hatari Alain Anicet Oura

BREAKING NEWS: Simba SC Yakamilisha Usajili wa Winga Hatari Alain Anicet Oura – Je, Huu ni Mwanzo wa Mapinduzi Mapya Msimbazi?

Simba SC Yakamilisha Usajili wa Winga Hatari Alain Anicet Oura: Habari kubwa zimeitikisa dunia ya soka la Tanzania baada ya Simba Sports Club kukamilisha rasmi usajili wa winga hatari Alain Anicet Oura, mchezaji aliyekuwa akikikipiga na IF Gnistan inayoshiriki Daraja la Kwanza nchini Finland. Usajili huu umeibua mjadala mpana miongoni mwa mashabiki, wachambuzi wa soka,…

Read More