Simba SC Yampongeza Chamou Karaboue Katika Birthday Yake, 22 November 2025
Simba SC Yampongeza Chamou Karaboue Katika Birthday Yake: Siku ya kusherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwa Chamou Karaboue imegeuka kuwa moja ya matukio yaliyotikisa mitandaoni kwa mashabiki wa Simba SC. Mchezaji huyo, ambaye ameendelea kuwa gumzo kutokana na kiwango chake kizuri ndani ya klabu na mchango wake katika mechi za hivi karibuni, alipokea salamu nyingi za…