Simba SC Yamtambulisha Kocha Mpya: Karibu Simba SC, Kocha Mkuu Steve Barker
Simba SC Yamtambulisha Kocha Mpya: Hatimaye pazia limefunguliwa. Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi ujio wa kocha mpya mkuu, Steve Barker, hatua inayozua gumzo kubwa ndani na nje ya Tanzania. Uamuzi huu unaashiria mwanzo mpya kwa Wekundu wa Msimbazi, ambao wameingia katika kipindi cha mageuzi makubwa wakilenga kurejesha ubabe wao wa ndani na kupanda daraja…