TFF Yaufungulia Rasmi Uwanja wa KMC Baada ya Kukidhi Vigezo vya Kikanuni
TFF Yaufungulia Rasmi Uwanja wa KMC: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kuufungulia matumizi Uwanja wa KMC uliopo Dar es Salaam, baada ya kuridhishwa na marekebisho yaliyofanywa kufuatia changamoto za awali za miundombinu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF, uwanja huo ulikuwa umefungiwa matumizi ya mechi za Ligi baada ya kubainika…