Yanga SC Yaimarisha Misingi Kigoma: Uongozi Wakutana na Viongozi wa Matawi
Yanga SC Yaimarisha Misingi Kigoma: Kigoma, Tanzania – Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano na kuongeza nguvu ya klabu katika ngazi ya matawi, Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) leo umefanya kikao muhimu na Viongozi wa Matawi ya mkoa wa Kigoma. Kikao hicho, kilichofanyika ikiwa ni sehemu ya ziara ya klabu hiyo mkoani…
