Yanga SC Yaisambaratisha Young Africans Youth kwa Mabao 6-0 Katika Mchezo wa Kirafiki
Yanga SC Yaisambaratisha Young Africans Youth kwa Mabao 6-0: Klabu ya Yanga SC yaendelea kuwa tishia baada ya kuionesha Young Africans Youth nani mkubwa wa soka. Soma pia: Uchambuzi: Orodha ya Wachezaji Wanaotisha kwa Mabao ya Mguu wa Kushoto NBC Premier League Klabu ya Yanga SC imeonesha kiwango cha hali ya juu katika maandalizi yao ya…
