Yanga SC Yaitandika Mashujaa FC 2:0
Yanga SC Yaitandika Mashujaa FC 2:0,Matokeo ya Mechi ya Yanga SC na Mashujaa FC: Uwanja wa Lake Tanganyika uliopo mkoani Kigoma leo umeshuhudia moja ya michezo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu katika raundi ya 26 ya Ligi Kuu ya NBC. Katika mchezo huo, mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0…
