MSHTUKO JANGWANI:Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves, makocha wawili watajwa kurithi mikoba!
MSHTUKO JANGWANI:Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves; Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetikisa ulimwengu wa soka nchini baada ya kutangaza rasmi kumfuta kazi Kocha wake Mkuu, Pedro Gonçalves, kuanzia leo Mei 6, 2026. Uamuzi huo umekuja kama mshtuko kwa mashabiki wengi, ikizingatiwa kuwa timu hiyo ipo katika hatua muhimu za msimu. Kupitia taarifa…