Mapinduzi ya Soka la Vijana: Young Soccer School na Shining Sports Academy Walivyoonesha Ufundi Uwanjani
Young Soccer School na Shining Sports: Young Soccer School na Shining Sport zachuana live katika mechi ya kirafiki,hatua hizi ni nzuri na zenye kuonesha ukuaji wa soccer la Tanzania hasa kwa Timu ya Yanga inayojutuma zaidi katika kukuza vipaji vya badae. Soka la vijana ndilo msingi wa mafanikio ya soka la taifa lolote duniani, na…
