Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League: Ratiba Kamili ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026
Ratiba ya Yanga SC 2025/26, Ratiba za mechi za yanga NBC Premier league 2025/2026: Msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC unatarajiwa kuwa miongoni mwa misimu migumu na yenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya soka la Tanzania. Timu ya Yanga SC, mabingwa mara nyingi wa ligi, wanajiandaa kuingia uwanjani kwa dhamira moja kubwa:…