Breaking News: Makamu wa Rais Yanga SC, Arafat Haji Afanya Ziara ya Kushtukiza Mazoezini Jioni ya Leo
Makamu wa Rais Yanga SC, Arafat Haji Afanya Ziara ya Kushtukiza Mazoezini Jioni ya Leo: Hali ya hewa katika kambi ya klabu ya Yanga SC imezidi kupamba moto jioni ya leo baada ya Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji, kutembelea kikosi hicho kikiwa katika maandalizi yake ya mwisho ya uwanjani. Ziara hiyo imekuja…