Ratiba ya Yanga SC 2025/26

Uongozi wa Yanga Watuma Ujumbe Maalumu: “Tunawatakia Wananchi Wote Maadhimisho Mema ya Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania 🇹🇿”

Uongozi wa Yanga Watuma Ujumbe Maalumu: Habari za yanga za leo; Tanzania inaadhimisha miaka 64 ya Uhuru wake tangu tarehe 9 Disemba 1961, siku ambayo imebeba historia, heshima, na fahari kwa Watanzania wote. Katika kuadhimisha siku hii muhimu, Uongozi wa Klabu ya Yanga SC (Young Africans Sports Club) umetuma salamu maalumu kwa wananchi wote, wakisisitiza…

Read More