Ratiba Ya Yanga Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Makundi
Ratiba Ya Yanga Klabu Bingwa, Ratiba ya mechi za Yanga klabu bigwa: Klabu ya Young Africans SC (Yanga) inaendelea kuandika historia kwenye soka la Afrika baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni hatua muhimu kwa klabu hiyo kongwe nchini Tanzania, ambayo…