Young Africans SC Yaandika Historia

Young Africans SC Yaandika Historia: Yawa Klabu ya Kwanza Kujiunga Rasmi na African Club Association (ACA)

Young Africans SC Yaandika Historia: Katika ukurasa mpya wa historia ya soka barani Afrika, Young Africans SC imejiweka katika nafasi ya kipekee baada ya kutangazwa kuwa klabu ya kwanza kujiunga rasmi na African Club Association (ACA). Huu ni mwanzo wa zama mpya kwa klabu hiyo kongwe Tanzania, ambayo sasa inajiimarisha si tu kama nguvu ya…

Read More