NBC Premier League: Young Africans vs Fountain Gate FC – Full Match Preview, H2H & Bold Prediction (04 December)
Young Africans vs Fountain Gate FC: Ligi Kuu ya NBC Premier League inaendelea kushika kasi, na miongoni mwa michezo inayotarajiwa kwa hamu na mashabiki ni Young Africans SC (Yanga) vs Fountain Gate FC, mchezo utakaopigwa tarehe 04 Desemba majira ya saa 10:00 jioni . Huu ni mchezo muhimu kwa mabingwa watetezi Yanga SC, ambao wanaendelea…